Friday, October 7, 2016

Timu ya Kundemba yatoka sare na Leeds 1-1 Ligi daraja la pili

Kikosi kamili cha Timu ya Kundemba kilichofungua dimba katika Ligi ya Daraja la Pili kwa kumenyana Leeds. Matokeo hadi mwisho wa mpira hakuna mbabe 1-1.


No comments:
Write Maoni