Habari za Punde

Utoaji wa elimu ya Kiraia kwa wananchi wa shehia ya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni
 SHEHA wa Shehia ya Msuka Mashariki Bakari Ali, akifungua Mkutano wa kuelimisha haki za Kiraia na sheria zinazowahusu wananchi, huko katika shehia ya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).
 AFISA mipango wa Kituo cha Huduma za sheria Zanzibar Ofisi ya Pemba, Khalfan Amour Mohamed, akizungumza na wananchi wa Shehia ya Ungi Msuka, wakati wa utoaji wa elimu ya Kiraia kwa wananchi wa shehia hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).
 WANANCHI wa shehia ya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwaskiliza viongozi wa Kituo cha Uduma za Sheria Zanzibar Ofisi ya Pemba, katika kuelimisha haki za Kiraia na sheria zinazowahusu wananchi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).
 MRATIB wa Kituo cha Huduma za sheria Zanzibar ofisi ya Pemba, Fatma Khamis Hemed, akizungumza na wananchi wa Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).

AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za sheria Zanzibar, Mohamed Hassan Ali, akizungumza na wananchi wa Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.