Habari za Punde

Mama wa miaka 78 aliposhiriki sherehe za siku ya wazee duniani


 MMOJA wa Wazee ambaye anakisiwa kuwa na umri wa miaka 78, akondoka na kurudi nyumbani baada ya kumalizika kwa sherehe za siku ya wazee duniani iliyofanyika katika Unjwa wa michezo Gombani hivi karibuni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshajio, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe;Hassan Khatib Hassan, akimsaidia kumtafutia usafiri wa kurudi nyumbani, mmoja ya wazee wasio jiweza mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya siku ya wazee duniani iliyofanyika Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.