MATANGAZO MADOGO MADOGO

Monday, October 3, 2016

Madaktari bingwa kutoa Bara wawasili Pemba kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu

 TIMU ya Madaktari bingwa kutoka Tanzania bara, wakiwa nje ya uwanja wa ndege Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)