Habari za Punde

Wafanyabiashara wa Eneo la Kijangwani Wahamia Eneo Walilotayarishiwa Daraja Bovu.



Wafanyabiasha wa mbao na miti katika eneo la kijangwani Unguja tayari wametekeleza amri ya kuhama katika eneo hilo na kuhamia katika sehemu waliopangiwa barabara ya daraja bovu kuaza kufanya biashara zao. Kupisha eneo hilo kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha gari za daladala. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.