Habari za Punde

Wananchi Wakipata Huduma ya Wifi Bustani ya Mapinduzi Square Michenzani.

Wananchi na Wanafunzi wa Vyuo mbalimbali Zanzibar wakipata huduma ya Wifi katika viwanja vya bustani ya Mapinduzi Square Michenzani inayotolewa na Kampuni ya Zanlink Zanzibar kwa jamii kujipatia huduma hiyo bure kupata habari mbalimbali kupitia katika simu zao wanapofika katika eneo hilo kwa ajili kupata habari zinazotokea sehemu mbalimbali duniani kama walivyokutwa jioni hii wakiwa bizz kupata habari.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.