Habari za Punde

Bodi ya chakula dawa na vipodozi yafanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ya madawa

 Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa Kilimani.

Maafisa ukaguzi kutoka Bodi ya Chakula, Dawa na vipodozi wakiangalia dawa zinazoendelea kuuzwa na duka la Fahud liliopo Mkunazini Mjini Zanzibar.

Msaidizi Mfamasia Kombo Masoud Khatib akitoa maelezo kwa mkaguzi wa Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi  Amne Nassor Issa wakati maafisa hao walipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika maduka ya dawa ya Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.