Habari za Punde

Wafanyakazi wa Zantel Washiriki katika Kufanya Usafi katika Mitaa ya Mji Mkongwe na CEO Kugawa Kadi kwa Wateja Wao Zanzibar leo.

CEO wa Kampuni ya Zantel Mr.Benoit Janin akigawa Kadi za muda wa maongezi kwa Wateja wao baada ya leo asubuhi kulitokea tatizo la kwa muda wa saa moja katika mtandao wa kutoa huduma na kukusanyika wateja hivyo Zantel iliomba radhi kwa kutoa vocha ya shilingi 1000/= kwa kila mteja aliyekuwepo katika ofisi za huduma kwa wateja vuga Zanzibar leo asubuhi
Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg Mohammed Mussa Baucha akizungumxza na wafanyakazi wa Zantel katika Ofisi za Huduma kwa Wateja Vuga Zanzibar. 
CEO wa Kampuni ya Zantel Mr.Benoit Janin akigawa Kadi za muda wa maongezi kwa Wateja wao baada ya leo asubuhi kulitokea tatizo la kwa muda wa saa moja katika mtandao wa kutoa huduma na kukusanyika wateja hivyo Zantel iliomba radhi kwa kutoa vocha ya shilingi 1000/= kwa kila mteja aliyekuwepo katika ofisi za huduma kwa wateja vuga Zanzibar leo asubuhi.
CEO wa Kampuni ya Zantel Mr.Benoit Janin, akitowa vocha ya shilingi 1000 kwa wateja wao ikiwa ni kuwaomba radhi kwa ukosa mawasiliano kwa muda wa saa moja leo asubuhi na kulazimika kufika katika ofisi za zantel vuga kujuwa nini tatiz.
CEO wa Kampuni ya Zantel Mr.Benoit Janin, akigawa vocha ikiwa ni kuwaomba radhi kwa usumbufu huo wa kukosa mawasiliano kwa muda wa saa moja leo asubuhi na kulazimika kufika katika ofisi za zantel vuga kupata msaada wa tatizo hilo.
Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg Mohammed Mussa Baucha, akizungumza na wate wa Zantel waliofika katika Ofisi za Zantel Vuga kupata huduma baada ya kutokea hitilafu ya mtandao leo asubuhi ulidumu kwa saa moja na kuendelea kutowa huduma hiyo kwa wateja wao na kuomba radhi kwa tatizo hilo la kiufundi. 
Wateja wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Zantel wakipata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa Zantel katika ofisi zao za huduma kwa wateja vuga Unguja leo baada ya kutokea tatizo la mtandao.
Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg Mohammed Mussa Baucha akizungumza jambo na CEO wa Zantel Mr.Benoit Janin, wakatika katoka Ofisi za huduma kwa wateja Vuga leo asubuhi. 


CEO wa Kampuni ya Zantel Mr.Benoit Janin akiwa nabero baada ya kukusanya taka nakupeleka katika eneo husika lililotengwa kwa ajili ya kukusanya taka hizo katika mitaa ya mji mkongwe wa Zanzibar.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel wakishiri katika kazi za kijamii katika kufanya usafi katika mitaa ya mji mkongwe maeneo ya shangani Zanzibar kuweka katika usafi mazingira ya Mji wa Unguja usafi huo uefanyika leo asubuhi katika maeneo ya shangani, na vuga 
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Tanzania wakishiriki katika kazi za kijamii kufanya usafi katika mitaa ya mji mkongwe wa Zanzibar leo.
CEO wa Kampuni ya Zantel Mr.Benoit Janin, akishiriki na Wafanyakazi wa Zantel katika kufanya usafi katika maeneo ya Kijamii katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar,  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.