Habari za Punde

Mafunzo ya Tanzania Bloggers Network (TBN) Ukumbi wa PSPF Dar es Salaam.

Mzee.John Kitime Katibu wa Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania, akitowa mada ya Hati Miliki kwa Wajumbe wa Mkutanmo wa Mafunzo ya TBN ya mafunzo kuhusiana na hati miliki kwa wamiliki wa Blog Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la PSPF  Mjini Dar es Salaam .  
Wajumbe wa TBN wakiwa makini kufuatilia Mada.   
Wajumbe wa TBN wakijadiliana Jambo. Gadiola kutoka Arusha wa Blog  Wazalendo 255. na Othman Michuzi wa Blog ya Mtaa kwa Mtaa. 
Josephat Lukaza wa lukaza blog na Vero wa Blog ya Vero.Blogs kutoka Arusha 

Othman Michuzi na Gadiola Emannuel wakibadilishana mawazo wakati wa mkutano huo wa TBN wakati mafunzo hayo.
Mjumbe wa Mkutano wa TBN Mdimu na Sufiani wakifuatilia Mada hiyo. 
Mwakilishi wa Blog ya Fullshangwe  Bukuku akifuatilia Mada ya Haki Miliki.  
Daniel Mbega kutoka Blog ya MaendeleoVijiji.Blog.

Dotto Kahindi wa Tabianchi blog. Akichangia Mada kuhusiana na Haki Miliki kwa Bloggers. 
Wajumbe wakiwa na Mkongwe wa Blog Tanzania. Muhidini Michuzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.