Habari za Punde

Mahafali ya 11 ya Skuli ya Agreement Education Center Zanzibar

Wanafunzi wa Skuli ya Agreement Education wakionesha maonesho ya mavazi mbalimbali wakati wa mahafali yao ya 11 ya Skuli yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Betl Yamin Malindi Zanzibar. Wakionesha Vazi la Asili la Zanzibar.
Wakionesha Vazi la Kingazija wakati wa Mahafali hayo ya 11.
Wakionesha vazi la kiyemen.
Wakionesha Vazi la Kiarabu.
Wakionesha Vazi la Daktari wakati wa Mahafali hayo.
Wakionesha utoaji wa huduma ya Kihospitali 
Wakionesha Vazi la Afrika Magharibi.
Wakionesha Vazi la Harusi la Kioman.
Wanafunzi wa Skuli ya Agreement Education Center Zanzibar wakisoma maulid ya homu wakati wa mahafali hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Batly Yamin Malindi Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.