Habari za Punde

Mbunge na Mwakilishi jimbo la Tunguu washirika hafla ya kuwaaga Walimu skuli ya Jumbi

 Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Tunguu wakishirki katika Hafla ya kuwaaga Walimu skuli ya Jumbi na kumpongeza mwanafunzi aliyebahatika kujiunga na mchepuo.
 Baadhi ya Walimu na Wazee waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya Jumbi
 Baadhi ya wanafunzi wa skuli ya Jumbi 
 Mwanafunzi Abdulkadir Mwinyi Simai akizawadiwa shs 100,000/- (laki moja) na Mbunge wa Tunguu kwa niaba ya Mwakilishi na Mbunge. 

Viongozi pamoja na Mbunge na Mwakilishi wakipata chakula cha mchana pamoja na uongozi wa Skuli ya Jumbi 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.