Habari za Punde

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg Salum Kassim Ali Azungumza na Waandisdi na Kutangaza Tarehe ya Uchaguzi Mdogo wa Wadi ya Ndagoni Pemba. Febuari 18,2017.

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg Salum Kassim Ali akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar kuhusiana na kutangaza kwa tarehe ua Uchaguzi Mdogo wa Wadi ya Ndagoni Kisiwani Pemba kutokana wa Diwani ya Wadi hiyo kufariki na nafasi yake kuwa wazi. mkutano huo umefanyika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisdara Zanzibar.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Ndg Salum Kassim Ali akisisitiza jambo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusiana na utendaji wa kazi za Tume, katika kuboresha daftari la wapiga kura. 
Waandishi wa habari wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitowa maelezo kwa waandishi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.