Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Atangaza Jina la Mgombea Ubunge Jimbo la Dimani Kupitia CCM Katika Uchaguzi Mdogo

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akizungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada kumalizika kwa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM na kupitisha Jina Mgombea Ubunge katika uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Dimani unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Jina lililopitisha baada ya mchanganuo wa Wanachama 25 kujitokeza kugombea nafasi hiyo kupitia CCM na kupatikana jina moja la Ndg Juma Ali Juma atapeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi huo udogo baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Mhe Hafidh Ali Tahir kufariki na nafasi hiyo kuwa wazi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa CCM kisiwandui Zanzibar baada ya kupitishga Jina la Mgombea Ubunge Jimbo la Dimani katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao 2017.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai wakati akitangaza jina la Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.