Habari za Punde

Wazee Zanzibar Wakilipwa Mafao yao Kwa Wazee Waliotimia Miaka 70 Zanzibar.

Wazee wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika Kituo cha kupokelea fedha za Wazee zinazotolewa na Serikali hya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Wazee waliofikia Umri wa miaka 70, ili kuweza kujikimu katika mahitaji yao.  
Wazee wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar wakisubiri kupokea fedha za Wazee katika kituo cha Mkoa huo kinyasini Unguja.  
Makarani wa Idara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar wakihakiki majina ya Wazee wa Shehia tano katika Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa kufanya malipo ya Wazee waliotimia Umri wa miaka 70, hupata msaada huo unaotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Wazee.   

Karani wa Idara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar akifanya 
malipo kwa Wazee wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja wa shehia tano za Wilaya hiyo.
Karani wa Idara Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Siti Saidi akifanya malipo kwa Wazee katika kituo cha kufanyia malipo kikobweni Wilaya ya Kaskazini A Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.