Habari za Punde

Waziri wa elimu mgeni rasmi Mahafali ya Skuli ya FEZA Zanzibar

Wahitimu wa Kidato cha Nne katika Skuli ya Feza Zanzibar (Private) ya Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakiwa katika mahfali wanafunzi wa Kidato cha 4,6 na 7 iliyofanyika juzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,
Wanafunzi wa Darasa la Sita na Saba katika Skuli ya  Feza Zanzibar (Private) wakiimba wimbo maalum wakati wa Mahafali ya wanafunzi wa Kidato cha 4 ,6 na 7 Mwaka 2016 iliyofanyika katika Skuli hiyo iliyopo Chukwani Wilaya ya Magharibi juzi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma akimpongeza Mtoto wa darasa la 5 Zahra Zahir aliyesoma Utenzi katika sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma akimpongeza Mtoto wa darasa la 4 Latifah Mohamed Abdulrahman  aliyeimba Wimbo wa Kizungu (ENGLISH SONG)  katika sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.

Baadhi ya Wahitimu wa darasa la Sita katika Feza Zanzibar (Private) wakiwa katika sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za  Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.
 Baadhi ya waalimu waliopewa zawadi katika sherehe za  Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma.

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (wa pili kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa Darasa la saba katika sherehe za  Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na  darasa la 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi,(kulia) Mwalimu Mkuu Ally Yussuf Nungu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto) akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa Kidato cha Nne katika sherehe za  Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa  Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi,(katikati) Mwalimu Mkuu Ally Yussuf Nungu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.