Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Ndg Kinana Akutana na Balozi wa China Tanzania.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza. 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,  leo, Januari 18, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.