Habari za Punde

Ligin Kuu ya Zanzibar imeendelea leo Kati ya Mchezo wa Miembeni na Chwaka Stars Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya Miembezi Imeshinda 2--0.

Beki wa Timu ya Chwaka Stars akimiliki mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Miembeni akimfuatilia wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya zanzibar uliofanyika leo uwanja wa amaan Timu ya Miembeni imeshinda bao 2--0. 


Mchezaji wa Timu ya Miembeni akimpita mchezaji wa Timu ya Chwaka Stars wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu ya Miembeni imeshinda bao 2-0.
Benchi la ufundi la Timu ya Chwaka Stars wakiwa na majonzi baada ya timu yao kukubali kipigo cha bao 2-0 katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 




Benchi la ufundi la Timu ya Miembeni wakifuatilia mchezo wao na Timu ya Chwaka Stars uliofanyika uwanja wa amaan. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.