Habari za Punde

Michuano ya 11 ya Kombe la Mapinduzi Cup Zanzibar Kati ya Azam na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Azam Imeshinda Bao 1--0.

Beki wa Timu ya Zimamoto mwenye jezi ya njano Suleiman Sheha na Mshambuliaji wa Timu ya Azam Yahya Mohammed wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Kundi B, wakiwania mpira. Katika mchezo huo Timu ya Azam imeshinda kwa bao moja lililofungwa na mshambuliaji Shabani Iddi katika dakika ya 79 ya kipindi cha pili baada ya kumpiga kazu kipa wa timu ya Zimamoto Hassan Jumanne.   
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.