Habari za Punde

Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba akagua ujenzi wa kituo cha ununzu karafuu na jengo la skuli Shehia ya Mgelema

 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akikaguwa ujenzi wa Kituo cha Ununuzi wa Karafuu huko katika Shehia ya Mgelema ,ambacho kinajengwa na Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) .
 Mkuu wa Mkoa wa KusiniPemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akiongea jambo na wakuu wake wa Wilaya ya Mkoani, Hemed Suleiman Abdalla na Salama Mbarouk Khatib, wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, mara baada ya kukaguwa ujenzi wa Kituo cha ununuzi wa karafuu Mgelema.
 Jengo la Kituo cha Ununuzi wa Karafuu kinachojengwa huko Mgelema Pemba
 Jengo la Skuli ya Mgelema , ambalo limejengwa huko Mgelema na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma majid Abdalla, akiagiza jambo kwa kamati ya Ujenzi wa Skuli hiyo huko Mgelema Pemba.

Picha na Hanifa Salim -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.