Habari za Punde

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Atembelea Vituo vya Kupigia Kura Katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Dimani Zanzibar Wakati wa Zoezi Hilo Likiendelea kwa Amani na Utulivu Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.

Mwenyekiti waTume yaTaifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (Kushoto) kizungumza na Mawakala wa Vyama vya Siasa waliokuwepo ndani ya kituo cha kupigia Kura cha Skili ya Kombeni katika jimbo la Dimani wakati alipofika kutembelea Vituo vya Wapiga Kura kujionea maendeleo ya zoezi hilo linavyoendelea kwa amani na utulivu Wengine wanaochukua taarifa ni Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania.
 
 Mwananchi wa Jimbo la Dimani akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanika Zanzibar kufuatia kwa kifo cha aliyekuwa Mbunhge wa Jimbo hilo Hafidh Ali Tahir.
 Mwananchi wa Jimbo la Dimani akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanika Zanzibar kufuatia kwa kifo cha aliyekuwa Mbunhge wa Jimbo hilo Hafidh Ali Tahir. 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (Katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wa Zanzibar kutoa tathmini ya hali ya Uchaguzi mara baada ya kuetembelea vituo mbalimbali vya kupigia kura katika jimbo la Dimanileo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.