Habari za Punde

Watoto bado wanatumika katika biashara wakati wa masomo

BADO baadhi ya wazazi wamekuwa wakipuuzia suala la kuwadhibiti watoto wao, kwenye biashara na hasa wakati wa masomo, kama kamera yetu ilivyowanasa watoto hao, nje ya soko jipya la mjini Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, wakiuza mboga aina ya Mchicha, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.