Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Awaapisha Washauri wa Rais, Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Naibu Katibu Mkuu Ikulu leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu alipowasili Ikulu kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Washauri wa Rais Zanzibar. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mshauri wa Rais Mhe.Abdurahaman Mwinyimbegu 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi askisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Omar Saleh Kabi, kushoto Mshauri wa Rais Utamaduni na Sanaa Mhe Chimbeni Kheri. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mshauri wa Rais Pemba kabla ya kuwapisha kwake Mhe Maua Abeid Daftari.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na wanafamilia walioalikwa kushuhudia hafla hiyo Ikulu Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya, baada ya kumuapisha leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mshauri wa Rais Masuala ya Maendeleo ya Jamii Wazee Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar Mohammed, Ikulu leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akinmpongeza Mshauri wa Rais Masuala ya Maendeleo ya Jamii Wazee Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar Mohammed, baada ya kumuapisha leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mshauri wa Rais Pemba Bi Maua Abeid Daftari, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Mshauri wa Rais Pemba Bi Maua Abeid Daftari, baada ya kumuapisha leo Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais MBLM, Rahma Ali Khamis Ikulu leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitia saini hati ya kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais MBLM Rahma Ali Khamis baada ya kula kiapo leo Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali baada ya hafla ya kuwaapisha viongozi aliowachagua, waliokaa kutoka kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, Mshauri wa Rais Pemba Bi Maua Abeid Daftari,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Saleh Kabi na kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya, Mshauri wa Rais Masuala ya Maendeleo ya Jamii Wazee Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar Mohammed na Katibu Mkuu Kiongozi Dk Abdulhamid Yahya Mzee. TR.23 January 2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.