Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Utambulishi wa Karafuu ya Zanzibar. Kusherehekea Miaka ya 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizindua Branding ya Karafuu ya Zanzibar ikiwa ni kusherehekea miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo ya uzinduzi wa Karafuu ya Zanzibar kutambuliwa kimataifa umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Shirika la Biashara la Taifa Saateni Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi wa Serikali na Wafanyabishara mbalimbali wa Zanzibar na Nje ya Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Badi ya ZSTC baada ya Uzinduzi wa Karafuu ya Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC saateni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa ZSTC baada ya Uzinduzi wa Karafuu ya Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC saateni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.