Habari za Punde

UNFPA Yakabidhi Msaada wa Magari ya 4 Ambulance na 2 ya Kazi za Uratibu wa Vifaa Kwa Wizara ya Afya Zanzibar.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akikabidhiwa funguo za magari 6 kwa ajili ya Wizara ya Afya Zanzibar, Gari 4 za Kubebea Wagonjwa na 2 kwa Ajili ya Uratibu wa Vifaa Tiba kwa Wizara ya Afya, akikabidhi magari haro Kaimu Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Idadi ya Watu Ulimwenguni (UNFPA) Dr. Hashima Begum. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Zanzibar.















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.