Habari za Punde

Uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe, Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Bara Dkt.Ashatu Kijaji,mara alipowasili  Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati) na Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bibi.Elizabe Ann Talbert (kulia) wakifungua pazia kuashiria Uwekaji wa jiwe la Msingi  jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar huko   Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar,uliowekwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein huko Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.

Mkandarasi wa Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar  Nd,Edwin Shitindi kutoka alipokuwa akitoa maelezo ya Kitaalam kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupi pichani) baada ya kuliweka jiwe la msingi jengo hilo leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake baada ya kuliweka jiwe la msingi jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.