Habari za Punde

Uzinduzi wa Kituo cha Polisi Jambiani Zanzibar Shamrashamra za Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar..Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Issa Haji Gavu akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Generali Rojestus Rwegasira, alipowasili kastikas viwanja vya Kituo cha Polisi Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja kwa ajili ya uzinduzi wa Kituo hicho kilichojengwa kwa udhamini wa Kampuni ya Penny Royal Zanzibar. kwa ajili ya wananchi wa jambiani

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MheIssa Issa Haji Gavu akikata uteke kuashiria kukifungua Kituo cha Polisi Jambiani Wilaya ya Kati Unguja,kilichojengwa kwa uhisani wa kampuni ya pannyroyal, akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Generali Rojestus Rwegasira,hafla hiyo imefanyika katika eneo la kituo hicho jambiani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.