Habari za Punde

Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Mhe. Januari Makamba Azindua Msitu wa Asili Masingini Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Makamba akisalimiana na Viongozi wa Idara ya Misitu alipowasili katika Msitu wa masingini kwa ajili ya kuuzindua msitu huo kwa shughuli za Utalii Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba akiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Misitu Uvuvi na Mazingira Mhe Lulu Msham Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Juma Ali Juma wakielekea katika eneo la uzinduzi wa msitu huo wa asili masingini uliopewa jina la Zanzibar City Park.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Makamba akiondoa kipazia kuaashiria kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa msitu wa kimaumbeli masingini Zanzibar City Park. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Makamba akipiga makofi baada ya kuzindua na uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa msitu wa kimaumbeli masingini Zanzibar City Park. 
Mkuu wa Msitu wa Zanzibar City Park Masingini Ndg Othman Ali Othman akitowa maelezo ya msitu huo baada ya kuzinduliwa rasmin na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Makamba, akisikiliza maelezo hayo kutoka katika ramani ya picha inayooneshja msitu huo wa kimaumbile. 
Mkuu wa Msitu wa Zanzibar City Park Masingini Ndg Othman Ali Othman akitowa maelezo ya msitu huo baada ya kuzinduliwa rasmin na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Makamba, akisikiliza maelezo hayo kutoka katika ramani ya picha inayooneshja msitu huo wa kimaumbile. 
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi na Mazingira Ndg. Juma Ali Juma akitowa maelezo kwa Waziri Januari Makamba kupitia picha zinazoonesha mandhari ya msitu huo wakati wa hafla ya uzinduzi wake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba akikata utepe kuashiria kuuzindua Msitu wa Masingini kwa ajili ya shughuli za Kitalii ujulikanao kwa jina la Zanzibar City Park Masingini. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano Mhe Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliobeba mkasi wakati wa uzinduzi wa Msitu wa Kitalii wa Zanzibar City Park Masingizi Zanzibar, akiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mazingira Uvuvi na Mifugo Zanzibar Mhe Lulu Msham na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja Mwinyiussi, Katibu Mkuu wa Kilimo Ndg Juma Ali Juma.  
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mazingira Uvuvi na Mifugo Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma katikati akitowa maelezo ya eneo walilokuwa limetengwa kwa ajili ya kutizamia Sun Set katika msintu huo wa Kitalii Zanzibar City Park  Masingini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.