KITAWI
cha mti wa mkarafuu kikiwa na karafuu changa mzao wa mwaka, ambapo taarifa
zinaeleza kuwa, mzao huo, unatarajiwa kuwa mzuri kwa mwaka huu, na miezi saba
ijayo zinatarajiwa kuvunwa
WASANII kutoka
mji wa Wete kisiwani Pemba, wakipamba maadhimisho ya siku ya wanawake
yaliofanyika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Chakechake na kuhutubiwa na
Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdall

MWANDISHI wa
kituo cha redio cha ZENJ FM Pemba
Is-haka Mohamed Rubea, akizungumza na dereva wa ‘TAX’ Shemsa Hakim Khamis,
kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliofanyika Chakechake Pemba
MWANDISHI wa sauti ya Isti-qama kituo
Pemba Salmin Juma Salmin, akizungumza na dereva wa ‘TAX’ Shemsa Hakim Khamis,
kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliofanyika Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment