Habari za Punde

Kamati ya Amani ya Kitaifa ya Viongozi wa Dini Zanzibar Waunga Mkono Kauli ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Tanzania.

Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Kitaifa ya Viongozi wa Dini Zanzibar Sheikh Salim Mohammed Hassan, akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vioko Zanzibar kuhusiana na Kauli ya Rais wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliotangaza kupiga vita dhidi ya janga la Taifa la madawa haramu ya kulevya na kuwasaka na kuwakamata wauzaji na wasambazaji, bila kujali wasifu wao vyeo na nafasi zao. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya michezo mwanakwerekwe Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.