Habari za Punde

Breaking News Chama cha Mpira Zanzibar Mwanachama wa CAF Baada ya Kupata Kura Nyingi katika Uchaguzi

Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar ZFA leo kimepata uanachama rasmin wa CAF kwa kupigiwa kura nyingi na Wajumbe wa Mkutano huo uliofanyika Nchini Ethiopia 
Na kuwa Mwanachama rasmin leo kwa wajumbe wa mkutano huo kupiga kura na kuipa ushindi wa kura 51 wajumbe wote walikuwa 54.Wajumbe 3 wamepiga kura ya hapana 

1 comment:

  1. Good news,tutegemee migogoro Zaidi ndani ya ZFA

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.