Habari za Punde

Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Adhimisha Siku ya Wanawake Duniani na Wanawake wa Zanzibar

 
MWALIMU wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar kutoka China Liu Zheng akiwa na wanafunzi wa chuo hicho wakionesha onesho wa ngoma ya Tai Ji wakati wa Maadhimisho hayo ya Siku ya Wanawake
MKE wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Liu Jie akisalimiana na Mke wa Rais Mstaaf wa Zanzibar Mama Shadya Karume alipowasili kuhudhuria hafla ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ilioandaliwa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar katika jengo la Ubalozi huo wa Mdogo wa China Mazizini Zanzibar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar akitowa maelezo ya aina ya chai za china kwa Mke wa Rais Mstaaf wa Zanzibar Mama Shadya Karume wakati wa Sherehe za Siku ya Mwanamke Duniani ilioandaliwa na Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar kushoto Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Liu Jieya.
Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Liu Jie akihutubia wakati wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar. na kuhudhuriwa na Wanawake mbalimbali ili kuadhimisha Siku hiyo muhimu kwa wanawake Duniani. 
Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Liu Jie akihutubia wakati wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wzee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Moudlini Castico, akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, hafla hiyo imeandaliwa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Liu Jie katika ukumbi wa Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Raia wa China walioko Zanzibar wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar.
Waalikwa wa Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakimsikliza Mke wa Balozi Mdogo wa China akiwahutubia kuadhimisha siku hiyo muhimu kwa Wanawake Duniani. 
Wananchi China wakifuatilia Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakati Mke wa Balozi akihutubia katika ukumbi wa Ubalozi Mdogo wa China.
Wananchi wa China wanalioko Zanzibar wakifuatilia sherehe za kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa ubalozi mdogo wa China Mazizini Zanzibar.
Vijana kutoka China wanaofanya Kazi Zanzibar wakiimba wimbo wa Lion King wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa ubalozi mdogo wa China mazizini Zanzibar. 
Mfanyakazi wa Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Wang akionesha kazi za mapishi ya chakula cha China wakati wa sherehe hizo za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika ukumbiwa Ubalozi wa China Zanzibar.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wzee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Moudlini Castico, akimuangali mfanyakazi wa ubalozi mdogo wa China Zanzibar Bi Wang akiandaa chakula cha kichina wakati wa sherehe za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika Ukumbi wa Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar.
Baadhi ya Wanawake waliohudhuria Sherehe za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakiangalia jinsi ya kuandaa mapishi ya Kichina.
Baadhi ya Wanawake waliohudhuria Sherehe za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakiangalia jinsi ya kuandaa mapishi ya Kichina.
Baadhi ya Wanawake waliohudhuria Sherehe za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakiangalia jinsi ya kuandaa mapishi ya Kichina.


Daktari kutoka China Dr. Huang akitowa burudani akiimba wimbo wa Pop wa Kichina wakati wa sherehe hizo za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 
Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi Liu Jie akiwa na wageni wake wakipata chakula cha jioni alichowaandalia kwa ajili ya kusherhekea Siku ya Wanawake Duniani katika jengo la Ubalozi wa China Mazizini Zanzibar.
Wanawake wa Zanzibar wakijumuika katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mke wa Ubalozi wa China Zanzibar kwa ajili ya kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.
Wageni waalikwa wakipata chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika Ubalozi wa China Zanzibar.
Raia wa China wakijumuika katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.
Raia wa China wakijumuika katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.