Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Akabidhiwa Jengo la Darasa la Skuli ya Vitongoji Lililojengwa kwa Nguvu za Wananchi

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na baadhi ya Walimu, Wazazi na wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Vitongoji Kisiwani Pemba wakati wa hafla ya kukabidhia jengo la Darasa baada ya kukamilika ujenzi wake kwa ajili ya kuaza kutowa huduma ya kusomeshea wanafunzi wa skuli hiyo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Vitongoji wakimskiliza Mkoa wa Kusini Pemba,Mhe.Mwanajuma Majid Abdalla, baada ya kukabidhiwa jengo la Skuli ya Vitongoji ambalo lilijengwa kwa nguvu za Wananchi 
Banda la madarasa matano ya kusomea la Skuli ya Vitongoji Pemba,ambalo limejengwa kwa nguvu za Wananchi  Walimu na kuezekwa na Uongozi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba,(Picha na Hanifa Salim - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.