Habari za Punde

Rais Dk Shein awasili Dodoma kushiriki vikao vya Chama

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Bw.Adam Kimbisa mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria vikao mbali mbali vya Chama,[Picha na Ikulu.]10/03/2017 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Bw.Adam Kimbisa mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria vikao mbali mbali vya Chama,[Picha na Ikulu.]10/03/2017

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.