Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Akutana na Balozi wa Brazil leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu,] 14/03/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.