BENKI YA WATU WA ZANZIBAR
·
Kampuni
ya simu ya Vodacom Limited inauzahisa (share) zake kupitia Benki ya Watu wa
Zanzibar (PBZ Bank) kwa shilingi 850/- kwa hisa moja. Hii fursa pekee kwa wananchi
wote wa Tanzania kuweza kuwekeza katika kampuni hio.
·
Hisa
hizo zita uzwa kuanzia tarehe 09/03/2017 hadi tarehe 19/04/2017 (Kwa kipindi
cha wiki sita).
·
Kiwango
cha mwanzo cha manunuzi ni hisa (share) 100 kwa thamani ya shilingi 85,000 na anaweza
kuongeza hisa 10, 10 kwa thamani ya shilingi 8,500/- kwa kila nyongeza.
·
Kwa
ajili ya ununuzi, utatakiwa kufanya malipo kwenye account ya ZanSecurities
Limited yenye nambari 06107000074 iliopo Benki ya Watu Wa Zanzibar (PBZ Bank).
·
Baada
ya kufanya malipo utajaza fomu maalumu ya kununulia hisa kulingana na kiwango
cha fedha zako ulizolipa.
·
Kwa
maelezo Zaidi tafadhali fika kwenye tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ
Bank) liliopo karibu yako.
PBZ
BANK: BENKI YA WATU, CHAGUO LA WATU
No comments:
Post a Comment