Habari za Punde

Uharibifu Uwanja wa Gombani

MLANGO wa Uwanja wa michezo Gombani, ambao kioo chake kimevunjwa na mmoja kati ya Viongozi wa Timu ya Danger Boys aliyejulikana kwa jina Amour Seif, baada ya mchezo kumalizika kwa goli 2-2 dhidi ya New Star, Kioo hicho kinadaiwa kugharimu zaidi ya shilingi laki 700,000/=
 (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.