Habari za Punde

Ujumbe Mzito Kutoka China Wawasili Jijini Dar es Salaam leo.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Guo Jinlong, alipowasili na ujumbe wake, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Guo Jinlong, baadaya kumookea na ujumbe wake, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.