Habari za Punde

Uzinduzi wa Ndege Maalum ya Kampuni ya Bell Geospace Limited ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar, Unaofanywa na Kampuni ya RAKGAS.

Ndege ya Kampuni ya Bell Geospace inayotarajiwa kufanya utafiti wa utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar ikiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikisubiri kuzinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ili kuaza kazi hiyo ya utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia katika Pemba - Zanzibar Block.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Ndege Maalum ya Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  akisalimiana na Waziri wa Ardhi Maji Nishai na Mazigira Mhe Salama Aboud Talib.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Juma Makungu Juma. alipowasili katika hafla ya uzindu huo. 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Meneja wa Kampuni ya RAKGAS Dr. Osama Abdel-All, alipowasili katika viwanja vya ndege vya Zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wa Ndege Maalum ya kutafiti Mafuta na Gas Asilia Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Rubani wa Ndege hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira  Ndg Ali Halil Mirza akizungumza na kutowa maelezo ya Uzinduzi huo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa hafla hiyo. iliofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS  Dr. Osama Abdel -All akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar, ukisimamiwa na kampuni yake ya Rakgas.   
Muwakilishi wa Kampuni ya Bell Geo Enterprises Limited, akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutowa maelezo ya matumizi ya ndege hiyo ya kampuni yao itakavyofanya kazi wakati wa utafiti wa utafutaji wa mafuta na gas asilia Zanzibar - Pemba Block. 
Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Salama Aboud akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa ndege ya utafiti wa mafuta na gas asilia zanzibar. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ndege Maalum ya Utafiti wa Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar katika Block ya Zanzibar - Pemba hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. 
Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akikata utepe kuashiria kuzindua Ndege Maalum ya Utafiti wa Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar, akiwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Rakgas Dr. Osama Abdel -all Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe, Ayoub Mohammed Mahmoud, Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Salama About Talib na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Ali Halil Mirza.  
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akikata utepe kuashiria kuzindua Ndege Maalum ya Utafiti wa Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar, akiwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Rakgas Dr. Osama Abdel -all Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe, Ayoub Mohammed Mahmoud, Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Salama About Talib na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Ali Halil Mirza.  

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo wakati akitembelea Ndege hiyo baada ya kuizindua kuaza Kazi ya Utafiti wa Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar. 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo wakati akitembelea Ndege hiyo baada ya kuizindua kuaza Kazi ya Utafiti wa Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar. 




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.