Habari za Punde

WAJUMBE wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo wa BLW wakagua ujenzi wa jengo la Serikali Pemba

 JENGO la ghorofa linalojengwa kwa taasisi tatu huko Gombani, likiwa linaendelea na ujenzi wake ambapo tayari tokea kuanza umeshakamilika asilimia 25% na limebakia miezi 12 kumalizika, jengo hilo linatarajiwa kutumia miezi 18 na kukamilika 2018.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAJUMBE wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakiongozwa mwenyekiti wa kamati hiyo Mwakilishi wa jimbo la Fuoni, Mhe;Yussuf Hassan iddi, wakipata maelezo ya ramani ya jengo la Taasisi tatu za Serikali kutoka kwa Mshauri Mwelekezi Mbarouk Juma Mbarouk, linalosimamiwna Wizara ya Fedha na Mipango Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAJUMBE wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi Zanzibar, wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni, Mhe:Yussuf Hassan Iddi, akiwaongoza wajumbe wenzake kwenda
kukagua jengo la taasisi Tatu za Serikali wakati wajumbe walipotembelea kuangalia ujenzi wa jingo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


WAJUMBE wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakirudi kukagua jengo la taasisi tatu za serikali, linalojengwa na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.