Habari za Punde

Waziri Mkuu Akiwa Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu,Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, bungeni mjini Dodoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati) na mbunge wa Bukoba Vijijini, Jason Rwekiza (kushoto) bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.