Habari za Punde

Jamani tuchukueni tahadhari na mvua hizi za Masika

Hili ni jaa la taka liliopo katikati ya makaazi ya watu mitaa ya Tomondo, Wilaya ya Magharibi Zanzibar. 

Na mvua hizi za masika Tumuombe Mungu atuepushe na maradhi na mabalaa ya kipindupindu. Amin

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.