Habari za Punde

Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe, Mihayo Juma N'hunga (katikati)na  Ujumbe wa Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,inayoongozwa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe, Simai Mohammed Said,(wa pili kushoto) wakiwa katika picha baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini hapo kuhusu mustkabal wa matumizi ya fedha za maendeleo ya Jimbo ambazo  zimetengwa kwa kipindi cha mwaka 2016/2017,[Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais].

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.