Habari za Punde

Maafa ya mvua Pemba, Waziri Aboud azungumza na waandishi wa habari

 WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba, juu ya athari zilizotokea kufuatia mvua kubwa

inayoendelea kunyesha Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAANDISHI wa Habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba, wakimsikiliza kwa makini Taarifa ya majanga yaliyosababishwa na Mvua zinazoendelea Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba, juu ya athari zilizotokea kufuatia mvua kubwa
inayoendelea kunyesha Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.