Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba,Mhe.Salama Mbarouk Khatib,akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya Wilaya Chakechake Pemba kwa ajili ya kutathimini madhara na maafa waliopata Wananchi wa Wilaya hiyo kutokana na mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali kisiwani humo, mkutano huo umefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Chakechake Pemba.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maaafa ya Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakiwa katika Kikao cha pamoja na Mkuu wa Wilaya Mhe. Salama Mbarouk Khatib, iliokutana kutathimini madhara ya maafa katika Wilaya yake ya Chakechake Kisiwani Pemba.
 Mkuu wa Wilayaa Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib,akiwafariji baadhi ya wa hanga hao ambao Walipata maafa yataokanayo na mvua kubwa zinazoendelea   kunyesha Kisiwani Pemba.,
Mkuu wa Wilayaa Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib,akiwafariji baadhi ya wa hanga hao ambao Walipata maafa yataokanayo na mvua kubwa zinazoendelea   kunyesha Kisiwani Pemba.,

Picha na Said Abrahamani-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.