Habari za Punde

Rais Dkt. Magufuli akabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Rais Museveni wa Uganda

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kukalia kiti cha Uenyekiti alipomkabidhi wadhifa huo leo wakati wa Mkutano wa 18 wa Kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.