Habari za Punde

Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika Warsha ya Sekta ya Utalii  ndani ya Jukwaa la Uchumi wa Dunia {World Economy Forum}  Mjini Amman Jordan alipokuwa akiwasilisha muelekeao wa Tanzania katika kuimarisha Utalii na fursa zinazopatikana kwa Taasisi zinazotaka kuwekeza miradi yao Tanzania.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa miongoni mwa Viongozi walioshiriki Jukwaa la Uchumi la Dunia ambao wa kwanza kutoka kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Mastacard  Bibi Tara Nathan akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Tanzania unaoongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye Mkutano wa Jukwaa la Uchumi la Dunia Mjini Amma Jordan.
Balozi Seif akibadilishana Mawazo na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje wa Jordan Bwana Iman Safad mara baada ya ufunguzi wa Jukwaa la Dunia la Uchumi Mjini Amma Nchini Jordan.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kiwa pamoja na Viongozi wenzake wa Kimataifa walioshiriki ufunguzi wa Jukwaa la Dunia la Uchumi {WEF} Nchini Jordan.

Balozi Seif Kati kati katika picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasilisha muelekeao wa Tanzania katika kuimarisha Utalii na fursa zinazopatikana kwa Taasisi zinazotaka kuwekeza miradi yao Tanzania  kwenye Mkutano wa Jukwaa la Uchumi la Dunia Mjini Amma Jordan.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.