Habari za Punde

Zantel watoa masaada wa saruji na mabati kwa wahanga wa maafa ya mvua kisiwani Pemba

 Msaada wa Saruji na mabati , ambao ulikabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, kwa ajili ya Wahanga wa mafuriko ya Mvua ilionyesha Kisiwani Pemba, kutoka kwa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel.

Mkuu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Moh'd Khamis Mussa (Baucha) ,akitowa maelezo kwa mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba juu ya azma ya Kampuni hiyo kutowa msaada wa Saruji na mabati kwa wahanga wa maafa
ya mvua zilizo nyesha Kisiwani Pemba
 Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akipokea msaada wa Saruji kutoka kwa Mkuu wa Kampuni ya Simu za mkononi  ya Zantel , Moh'd Khamis Mussa  ( Buacha) kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya mvua huko katika kiwanja cha tenis Chake Chake Pemba.
 Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza machache na kuipongeza Kampuni ya simu za Mkononi ya Zantel kwa kuamuwa kutowa msaada huo kwa Wahanga wa maafa Pemba.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani , Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza machache baada ya Kampuni ya Simu za mkononi ya Zantel kuukabidhi Mkoa wa Kusini Pemba msaada wa vifaa vya ujenzi kwa Wahanga wa maafa ya
Mvua , ikiwemo Saruji na mabati.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba,Salama Mbarouk Khatib , akiipongeza Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel kwa msaada wake wa vifaa vya Ujenzi ikiwemo saruji , mabati  kwa wahanga wa maafa ya mvua.

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.