Habari za Punde

Mradi wa Best of Zanzibar Kutowa Elimu ya Masomo ya Ziada Kwa Wanafunzi wa Skuli za Mbuyu Tende na Kijini Matemwe Wafanikiwa.

Mratibu wa Mradi wa Elimu ya Masomo ya Ziada kwa Wanafunzi wa Skuli za Mbuyu Tende na Kijini katika Kijiji cha Matemwe Wilaya ya Kaskazini A Unguja Ali Hamadi akizungumza na wazee wa watoto hao wakati wa mkutano wa kutowa maelezi jinsi ya maendeleo ya Watoto hao wanaopata masomo ya ziada ya Kiingereza na Hesabati kuwajengea uwezo katika masomo hayo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.