Rais Mstaafu wa awamu ya Pili
wa Tanzania Mhe. Ally Hassan Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Data
na Vifaa vya intaneti wa Zantel, Hamza Zuheri (wa tatu kushoto) juu ya huduma mbali mbali zinazotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya
Zantel jana jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo kutembelea banda la
Kampuni hiyo katika maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika jiji la Dar es salaam maarufu kama Saba saba yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Mwl J.K
Nyerere.
RaisMstaafuwaawamuya Pili
wa Tanzania Mhe. Ally Hassan Mwinyi(katikati)akipatamaelezokutokakwaMenejawa
Data naVifaavyaintanetiwaZantel, Hamza Zuheri (wa pili kushoto)juuyahudumambalimbalizinazotolewanaKampuniyaMawasilianoya
Zantel janajijini Dar es salaam baadayakiongozihuyokutembeleabanda la
Kampunihiyokatikamaonyeshoya 41 yaKimataifaya Dar es salaammaarufukamaSabasabayanayoendeleakatikaviwanjavyaMwlJ.K
Nyerere.Kuliani Waziri waViwanda, BiasharanauwekezajiMhe. Charles MwijagenaMwenyekitiwabodiyaWakurugenziwaMamlakayaMaendeleonaBiasharanchini
Christopher Chiza (wa pili kulia).
RaisMstaafuwaawamuya Pili
wa Tanzania Mhe. Ally Hassan MwinyiakipatamaelezokutokakwaMfanyakaziwa Zantel
FadhiliMfinanga (wa pili kushoto) juuyahudumambalimbalizinazotolewanaKampuniyaMawasilianoya
Zantel janajijini Dar es salaam baadayakiongozihuyokutembeleabanda la
Kampunihiyokatikamaonyeshoya 41 yaKimataifaya Dar es salaammaarufukamaSabasabayanayoendeleahivisasakatikaviwanjavyaMwlJ.K
Nyerere.
MkaziwamkoawaMorogoro,
Peter Albano akichangiadamukatikabanda la KampuniyaMawasilianoyaZantelalipotembeleabandahilojanajijini
Dar es salaam ilikujioneahudumambalimbalizinazotolewanaKampunihiyo.Zantel
kwakushirikiananaMpangowaTaifawadamuSalamawameandaautaratibuwauchangiajidamukwaajiliyakuokoamaishayawatuwenyeuhitajiwahudumahiyokatikakipindihiki
chamaonyeshoya 41 yaKimataifaya Dar es salaammaarufukamaSabasabayanayoendeleakatikaviwanjavyaMwlJ.K
Nyerere.AnayetoadamuniMsanifuMaabarakutokaHospitaliyaTaifayaMuhimbili,
Sebastian Magulu.
No comments:
Post a Comment