Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro na Meneja Mkuu wa kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, Jianguo
Liu wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa magari manne yaliyotolewa na kampuni hiyo ikiwa ni juhudi zake katika kulisaidia Jeshi
la Polisi kupambana na uhalifu nchini. Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, Oysterbay, jijini
Dar esSalaam
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakisikilizamaelekezoyajinsiinavyotumikamojayamagarimannewaliyokabidhiwanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval.AnayemuelekezaniMenejawaKampuniyaKifaru,Mario
Gaspari.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi,Oysterbay,jijini
Dar es Salaam
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakikaguamojayamagarimannewaliyokabidhiwanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval.AmbapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi
la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini
Dar esSalaam
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakizungumzawakatiwaHaflayamakabidhianomagarimanneyaliyotolewanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,
ambapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita
yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini
Dar es Salaam
MenejawaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,Jianguo
Liu,akizungumzawakatiwaHaflayamakabidhianomagarimanneyaliyotolewanaKampunihiyoambapoaliahidikushirikiananaJeshi
la Polisi katika vita
yakupambananauhalifunchini.Kushotoaliyesimamanimkalimaniwalughayakichina.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa
Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakipitambeleyamagarimanneyaliyotolewanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,
ambapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita
yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi,Oysterbay,jijini
Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro (wannekulia),
akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, Jianguo Liu (watatu kushoto),baada ya makabidhiano ya magari manne kutoka kwa kampuni hiyo ikiwa ni mchango wao katika kulisaidia Jeshi
la Polisi kupambana na uhalifu nchini.Wengine ni viongozi wa juu wa jeshi na viongozi wa kampuni ya Haval. Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, Oysterbay, jijini
Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment